Kupitia kipindi cha Recap na Mando amezungumzia mambo mbalimbali ikiwemo kuzichamua ngoma mbili yaani Yatapita ya Diamond na nitongopze ya Rayvanny Ft Diamond.
Uchambuzi wote tayari upo youTube pia Madam Rita amezungumza kwa urefu na kufafanua kuhusu video iliyosambaa mitanndaoni ikimuonyesha Producer Master Jay ambaye pia ni miongoni mwa m,ajaji kwenye shindano la BSS kumkataza mmoja ya washiriki kuimba nyimbno za Kenya.
Madam Rita amezungumza na @el_mando_tz kupitia kipindi cha Recap na Mando na kufafanua kwa urefu sakata lilivyokuwa.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.